Tunisia
Kutoka Wikipedia
Lugha rasmi | Kiarabu1 |
Mji mkuu | Tunis |
Aina ya serikali | Jamhuri |
Raisi | Zine el-Abidine Ben Ali |
Waziri Mkuu | Mohamed Ghannouchi |
Eneo | 163.610 km² |
Wakazi | 9.974.722 (Julai 2004) |
Wakazi kwa km² | 60 |
Uhuru | 20 Machi, 1956 (kutoka Ufaransa) |
Pesa | Dinari ya Tunisia |
Wakati | UTC +1 |
Wimbo wa Taifa | Humata l-hima |
Sikukuu ya Taifa | 7 Novemba |
(1) Lugha ya elimu ni Kifaransa | |
Tunisia (Jamhuri ya Tunisia - الجمهرية التونسية) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria. Mji mkuu ni Tunis iliyoko mahali pa Karthago ya kale.
Wakazi karibu wote hutumia lugha ya Kiarabu. Takriban watu 200,000 wanaendelea kuzungumza Kiberber ambacho ni lugha ya asili ya wenyeji lakini Waberber wengi wameshaanza kutumia Kiarabu.
Tunisia ilikuwa jimbo la "Africa" katika Dola la Roma. Eneo lake limewahi kutawaliwa na Wafinikia wa Karthago, Waroma wa Kale, Wavandali, Waarabu, Waturuki na Wafaransa.
Makala hiyo kuhusu "Tunisia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Tunisia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |