Libya
Kutoka Wikipedia
|
|||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||
Mji Mkuu | Tripoli | ||
Serikali | Jamhuri kwenye msingi wa itikadi ya Ujamaa wa Kiislamu | ||
Kiongozi wa mapinduzi | Muammar al-Gaddafi | ||
Mkuu wa Dola | Zanati Muhammad az-Zanati | ||
Waziri Mkuu | Schukri Muhammad Ghanim | ||
Eneo | 1.759.540 km² | ||
Idadi ya Wakazi | 5.631.585 (Julai 2004) | ||
Wakazi kwa km² | 3,2 | ||
JPT/mkazi | 4.293 US-$ (2004) | ||
Uhuru | kutoka Italia tar. 24 Desemba, 1951 | ||
Pesa | Dinari ya Libya | ||
Wakati | UTC+1 | ||
Wimbo la Taifa | Allahu Akbar (Mungu ni mkuu) | ||
Jamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu (kwa kifupi rasmi Jamahiriya ya Kilibya-Kiarabu) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini ikipakana na Bahari ya Mediteraneo, Misri, Sudan, Niger, Chad, Algeria na Tunisia. Neno la "Jamhariya" limeundwa na kiongozi wa taifa Muammar al-Gaddafi ina maana ya kulingana na "Jamhuri".
[hariri] Wakazi
Wakazi wa Libya ni hasa Waarabu (74 %) na Waberberi ambao wengi wameanza kutumia lugha ya Kiarabu pia. Kuna pia Waitalia. Wakazi wameongezeka tangu 1970 kutoka milioni 2.5 kuwa milioni sita hadi karibu milioni sita mwaka 2005. Nusu ya wakazi ni vijana chini ya umri wa miaka 16. Sehemu kubwa kabisa (80 %) huishi sehemu za pwani. Eneo kubwa la nchi ni jangwa la Sahara. Miji mikuu ni Tripoli, Benghazi na Misratah.
Lugha kuu ni Kiarabu pamoja na lugha kadhaa za Kibeberi. Ndizo
- Nafusi (wasemaji 101.000)
- Ghadames (wasemaji 42.000)
- Tamascheq (Tuareg; wasemaji 17.000)
Makala hiyo kuhusu "Libya" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Libya kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |