Somalia
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: - | |||||
Wimbo wa taifa: Wimbo wa taifa wa Somalia | |||||
Mji mkuu | Mogadishu |
||||
Mji mkubwa nchini | Mogadishu | ||||
Lugha rasmi | Kisomali | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Serikali ya mpito Abdullahi Yusuf Ahmed Ali Mohammed Ghedi |
||||
Uhuru - Date |
Kutoka Uingereza, Uitalia July 1, 1960 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
637,657 km² (41 dunia) 1.6% |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 1975 sensa - Msongamano wa watu |
8,591,629 (87) ~3,300,000 13/km² (170) |
||||
Fedha | Shilingi ya Somalia (SOS ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MSK (UTC+3) - (UTC+3) |
||||
Intaneti TLD | .so | ||||
Kodi ya simu | +252 |
Somalia, (Kisomalia: Soomaaliya; Kiarabu: الصومال, As-Suumaal), ambayo ilijulikana kama Jamhuri ya Demokrasia ya Somalia, ni nchi kwa pwani ya Afrika ya Mashariki katika Pembe ya afrika. Kijiografia, imezungukwa upande wa kaskazini-mashariki na Ethiopia na Djibouti, na upande wa magharibi ya kati na Kenya; Ghuba ya Aden nayo iko mashariki. Kwa sasa, nchi ya Somalia haina Amri ya serikali ya umoja wataifa, imegawa na wakereketwa na wanamgambo kwa ukoo na eneo.
Somalia ina maeneo ambayo yajisimamia kwa madaraka, hasa Somaliland na Puntland, na Wanamgambo wengine.
Yaliyomo |
[hariri] Historia
Tako la Kifungu: Historia ya Somalia
[hariri] Siasa
Tako la Kifungu: Siasa za Somalia
Ona pia Orotha ya wakurugenzi Somalia.
[hariri] Umma
[hariri] Ukoo na Watu wa Somalia
- Ukoo wa Somali, ni:
- Hawiye
- Isaaq
- Dir
- Darod
- Digil & Mifle
- Bantu
- other groups including Arabs
[hariri] Eneo za Amri
Tako la Kifungu: Eneo za Somalia, Wilaya ya Somalia
Tako la Kifungu: Jeografia ya Somalia
Somalia imegawa kwa Eneo (umoja. gobolka, wingi. gobollada), na zaidi kugawa kwa Wilaya
Eneo ni:
|
|
Wilaya: ona Wilaya za Somalia
[hariri] Jeografia
[hariri] Uchumi
Tako la Kifungu: Uchumi wa Somalia
Watabuzi:
[hariri] Watu na Lugha
Tako la Kifungu: Watu na lugha za Somalia
[hariri] Utamaduni
Tako la Kifungu: Utamaduni wa Somalia
- Uislamu Nchini Somalia
- Orotha ya Waadishi wa Somali
- Muziki wa Somalia
[hariri] Mawasiliano
Mawasiliani ya Jamhuri ya Somalia karibu kuangamia kwa vita via wenyewe kwa wenyewe, lakini kwa sasa kampuni za kibinafsi za mawasiliano ya mitambo , zime twaa karibu Miji yote Somalia, na hata kutoa huduma njema kuliko nchi zilizojirani. Somalia ni nchi mojawapo afrika ina mawasiliano ya bei rahisi zaidi, pengine kwa kuwa Somalia haina serika ya umoja kutoa Amri ya ushuru; (Telecoms thriving in lawless Somalia) Kampuni zinazo huduma watu wa Somalia nikama:
- SOMTEL
- Galkom
- Global Internet Company
- Hormuud
- Telcom
- Nationlink
- Netco
- STG
- Dahabshiil
[hariri] Ona pia
- Vita vya Mogadishu
- Building block theory
- Mawasiliano Somalia
- Mambo ya kigeni Somalia
- orotha ya kampuni za Somalia
- Orotha ya Habari za Somalia
- Wantu wakurugenzi Somalia
- Jeshi ya Somalia
- Usafiri Somalia
- Kudoea Somalia
[hariri] Viungo via Nnje
- Habari, mitandao hii yajadili kuhusu Somalia.
- AllAfrica.com - Somalia Habari
- International Freedom of Expression eXchange: Somalia
- Somalia - A Country Study
- Habari za kawaida
- Habari za BBC taratibu za Nchi - Somalia
- BBC habari barabara - Somalia: Kutoka kwenye mbomoko?
- interneti- CIA World Factbook - Somalia
- Open Directory Project - Somalia directory category
- Somali Planet Networks
- US State Department - Somalia includes Background Notes, Country Study and major reports
- - Better off Stateless: Somalia Before and After Government Collapse
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |