>


Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Rwanda - Wikipedia

Rwanda

Kutoka Wikipedia

Republic of Rwanda (engl.)
République Rwandaise (frz.)
Repubulika y'u Rwanda (Kinyarwanda)
Jamhuri ya Rwanda
Bendera ya Rwanda Nembo la Rwanda
(Details) (Details)
Lugha rasmi Kiingereza, Kifaransa, Kinyarwanda
Mji Mkuu Kigali
Serikali Jamhuri
Rais Paul Kagame
Waziri Mkuu Bernard Makuza
Eneo 26.338 km²
Idadi ya wakazi 7.954.013 (Julai 2004)
Wakazi kwa km² 301
Uhuru kutoka Ubelgiji 1 Julai, 1962
Pesa Rwanda-Franc
Wimbo wa Taifa Rwanda nziza
Rwanda katika Afrika
Ramani ya Rwanda

Rwanda (kifaransa: Le Rwanda) ni nchi ya Afrika ya Mashariki ikipakana na Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda na Tanzania.


Yaliyomo

[hariri] Jiografia

Hali ya hewa Kigali
Hali ya hewa Kigali

Eneo la Rwanda ni nyanda za juu na milima; sehemu kubwa ni mita 1500 juu ya UB. Milima katika kaskazini ya nchi inapanda hadi mita 4507 juu ya UB. Kutokana na ujuu hali ya hewa haina joto kali.

Rwanda imepakana na Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda na Tanzania. Mpaka na Kongo ni hasa ziwa la Kivu ambayo ni ziwa mojawapo la bonde la ufa la Afrika ya Mashariki. Mpakani na Kongo na Uganda ndiyo milima ya kivolkeno ya Virunga penye sokwe wa milimani.

Rwanda huitwa nchi ya vilima elfu, (Kifaransa: Pays de Mille Collines; Kinyarwanda: Igihugu cy'Imisozi Igihumbi) hivyo ndivyo sehemu kubwa ya eneo lake inavyoonekana hasa katika magharibi.

[hariri] Miji

Miji mikubwa zaidi ndiyo: Kigali wakazi 745.261, Butare wakazi 89.800, Gitarama wakazi 87.613, Ruhengeri wakazi 86.685 na Gisenyi wakazi 83.623.(namba za Januari 2005)

Kigali ni mji mkuu penye kiwanja cha ndege cha kimataifa na mahoteli makubwa.

Gisenyi ni mji kwenye ncha ya kaskazini ya Ziwa la Kivu mpakani na Kongo ikiwa jirani na mji wa Goma. Kuna usafiri wa mashua kwenda Kibuye na Cyangugu.

Kibuye ni mji mdogo ufukoni wa Ziwa la Kivu. Pana wavuvu wengi, kituo cha watalii na nyumba za kihistoria za wamisionari. Hadi 1994 Watutsi 250,000 waliishi katika wilaya ya Kibuye lakini tangu uangamizaji wa Watutsi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe wamebaki 8000 pekee.

Butare ni kitovu cha kiutamaduni katika kusini ya nchi penye chuo kikuu.


[hariri] Mimea na wanyama

Rwanda inatunza mazingira ya pekee duniani penye sokwe wa milimani katika milima ya Virunga. Wako hatarini ya kuangamizwa kutokana na uwindaji na kupanuka kwa mashamba kunakopunguza mazingira wanamoishi.

[hariri] Wakazi

[hariri] Makabila

Kwa kawaida vikindi vitatu hutajwa kuwa wakazi wa Rwanda ndio Wahutu, Watutsi, Watwaa. Lakini kuna tofauti kali kati ya mawazo kama vikundi hivi ni makabila, mataifa ya pekee au tabaka za kijamii. Hali halisi wanatumia lugha ileile ya Kinyarwanda na utamaduni uleule. Kihistoria wengi wanasema ya kwamba Watwaa walikuwa wakazi wa kwanza wakiwa wavindaji, Wahutu ndio wakulima wa kibantu waliopatikana tangu uenezaji wa Wabantu katika Afrika ya kati na mababu wa Watutsi waliingia kama wafugaji wa asili ya kaskazini. Watutsi walikuwa tabaka ya kikabaila pia mfalme alikuwa Mtutsi. Lakini wengine wanaamini ya kwamba vikundi vyote vitatu walijitokeza nchini tu si kama tokeo la hamiaji mbalimbali lakini zaidi kama tabaka zilizotofautiana kikazi: Wakulima, wavindaji na wafugaji waliokuwa pia askari wa mfalme.

Wakati wa ukoloni Wabelgiji walihesabu mnamo mwaka 1931 wakazi wa nchi kama wafuatavyo: 84 % Wahutu, 15 % Watutsi na 1 % Watwaa. Kabla ya uhuru ilitokea mara kwanza vita vya wenyewe kati ya makabila iliyosababisha kupungua kwa Watutsi kutokana na mauaji na zaidi Watutsi kukimbilia nchi jirani. Mnamo 1990 asilimia ya Watutsi ilikadiriwa kuwa 9 - 10 %.

Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya miaka ya 1990 ilileta uangamizaji wa Watutsi waliouawa kwa wingi. Kati ya asilimia 75% hadi90% ya wakazi Watutsi waliuawa katika wiki chache za mwaka 1994. Baada ya mwisho wa vita Watutsi wengi ambao wenyewe au wazazi wao walikuwa wamekimbilia Uganda na Tanzania walirudi tena Rwanda.

[hariri] Demografia

Kwa wastani kuna wakazi 300 kwa kilomita ya mraba ambayo ni msongamano mkubwa kabisa katika Afrika. Karibu nusu ya wakazi ni watoto hadi ya umri wa miaka 14. Wastani ya muda wa maisha ni miaka 40 pekee. Vita imesababisha idadi kubwa ya wagonjwa wa UKIMWI.

[hariri] Lugha

Lugha ya kitaifa na lugha ya mama kwa Warwanda wote ni Kinyarwanda ambayo ni lugha ya kibantu. Mjini na sokoni Kiswahili kinatumika pia lakini si lugha asilia ya Rwanda. Lugha rasmi tangu ukoloni ni Kifaransa. Tangu mwisho wa vita 1994 serikali mpya iliyoongozwa na Watutsi walioishi miaka mingi Uganda imetumia pia Kiingereza kama lugha rasmi.

[hariri] Historia

Tazama makala "Historia ya Rwanda"

Rwanda ilikuwa ufalme tangu karne ya 16 BK. Mwanzo wa karne ya 20 ilikuwa sehemu ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Rwanda ikawa koloni ya Ubelgiji. Uhuru katika mwaka 1961 ilifika pamoja na vity ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Wahutu na Watutsi. Uhusiano kati ya vikundi hivi viwili uliendelea kuwa vigumu. Kuuawa kwa rais Habariyama mwaka 1994 kulisababisha mauaji ya watu kama milioni moja. Kikundi cha RPF chini ya Paul Kagame kilingia kati na kuchukua madaraka.

[hariri] Siasa

Tangu ushindi wake wa kijeshi mwaka 1994 RPF walianzisha serikali ya umoja wa kitaifa. 2003 palitokea uchaguzi wa kwanza.

[hariri] Serikali

Raisi na mkuu wa dola ndiye jenerali Paul Kagame (FPR). Waziri Mkuu ndiye Bernard Makuza. Rwanda inataka kujiunga na Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

[hariri] Utawala

Tangu 2006 kuna majimbo matano:

  • Kigali
  • Kaskazini
  • Mashariki
  • Kusini
  • Magahribi



Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia

< Static Wikipedia 2008 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2007 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2006 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu

span style="font-weight: bold;">Our
"Network":



Project Gutenberg

href="https://gutenberg.classicistranieri.com">https://gutenberg.classicistranieri.com



Encyclopaedia Britannica 1911

href="https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com">https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com



Librivox Audiobooks

href="https://librivox.classicistranieri.com">https://librivox.classicistranieri.com



Linux Distributions

https://old.classicistranieri.com



Magnatune (MP3 Music)

href="https://magnatune.classicistranieri.com">https://magnatune.classicistranieri.com



Static Wikipedia (June 2008)

href="https://wikipedia.classicistranieri.com">https://wikipedia.classicistranieri.com



Static Wikipedia (March 2008)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/">https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/



Static Wikipedia (2007)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com">https://wikipedia2007.classicistranieri.com



Static Wikipedia (2006)

href="https://wikipedia2006.classicistranieri.com">https://wikipedia2006.classicistranieri.com



Liber Liber

href="https://liberliber.classicistranieri.com">https://liberliber.classicistranieri.com



ZIM Files for Kiwix

https://zim.classicistranieri.com





Other Websites:



Bach - Goldberg Variations

https://www.goldbergvariations.org



Lazarillo de Tormes

https://www.lazarillodetormes.org



Madame Bovary

https://www.madamebovary.org



Il Fu Mattia Pascal

https://www.mattiapascal.it



The Voice in the Desert

https://www.thevoiceinthedesert.org



Confessione d'un amore fascista

https://www.amorefascista.it



Malinverno

https://www.malinverno.org



Debito formativo

https://www.debitoformativo.it



Adina Spire

https://www.adinaspire.com




atOptions = { 'key' : 'e601ada261982ce717a58b61cd5b0eaa', 'format' : 'iframe', 'height' : 60, 'width' : 468, 'params' : {} };

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com