1962
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1959 1960 1961 - 1962 - 1963 1964 1965 |
[hariri] Matukio
- 20 Februari - John Glenn anazunguka dunia katika chombo cha angani akiwa Mmarekani wa kwanza kufanya hivyo.
- 1 Julai - Nchi za Burundi na Rwanda zinapata uhuru kutoka Ubelgiji.
- 5 Julai - Nchi ya Algeria inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 6 Agosti - Nchi ya Jamaika inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 9 Oktoba - Nchi ya Uganda inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 19 Novemba - Jodie Foster, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 15 Machi - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 22 Juni - Shaaban Robert (mshairi maarufu wa Tanzania)
- 6 Julai - William Faulkner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1949)
- 5 Agosti - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Agosti - Hermann Hesse (mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946)
- 3 Septemba - Edward Cummings, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Novemba - Niels Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922)