Jodie Foster
Kutoka Wikipedia
Jodie Foster |
|
---|---|
|
|
Jina la kuzaliwa | Alicia Christian Foster |
Alizaliwa | 19 Novemba, 1962 Marekani |
Jina lingine | Jodie Foster |
Kazi yake | Mwigizaji Mwongozaji Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1968 - hadi leo |
Alicia Christian Foster (amezaliwa tar. 19 Novemba, 1962) anafahamika zaidi kama Jodie Foster, ni mwigizaji wa filamu wa Kimarekani. Foster ameshiriki katika filamu nyingi tu kama vile Bugsy Malone, Taxi Driver, The Silence of the Lambs na Panic Room. Foster pia ni mwongozaji na mtayarishaji wa filamu. Vilevile amewahi kushinda tuzo nyingi ikiwemo na ya Oscars.
[hariri] Filamu alizoigiza
- 1976: Taxi Driver kama Iris Steensma
- 1976: Bugsy Malone kama Tallulah
- 1988: The Accused kama Sarah Tobikama
- 1991: The Silence of the Lambs kama Clarice Starling
- 1997: Contact kama Dr. Ellie Arroway
- 2002: Panic Room kama Meg Altman
[hariri] Viungo vya nje
- Jodie Foster katika Internet Movie Database
- Jodie Foster katika All Movie Guide
- Jodie Foster katika Movies.com
- Jodie Foster: Given leadership award