Academy Awards
Kutoka Wikipedia
Academy Awards |
|
---|---|
|
|
Tuzo hutolewa kwa ajili ya | Kufanya vizuri katika filamu, mafanikio |
Huwakilishwa na | Academy of Motion Picture Arts and Sciences |
Nchi | Marekani |
Tuzo ya kwanza | May 16, 1929 |
Tovuti Rasmi | Academy Awards |
The Academy Awards inafahamika zaidi kama Oscars. Huwakilishwa kila mwaka na kampuni ya Academy of Motion Picture Arts and Sciences (Kifupi: AMPAS) kwa lengo la kutambulisha taaluma za makapuni ya filamu, wakiwemo waongozaji, waigizaji, na watunzi wa filamu.
Rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbali mbali. Pia inasemekana kuwa ni miuongoni mwa sherehe mashughuli zaidi na inatizamwa sana duniani mara tu sherehe hizo zinapoanza.
[hariri] Baadhi ya Picha za Tuzo za Academy
[hariri] Viungo vya Nje
- Oscars.org (Tovuti Rasmi ya Oscars)
- Oscar.com (Tovuti Rasmi ya Sherehe za Oscars)
- The Academy Awards Database (Database ya Oscars)
- Picha za tuzo za Oscars