20 Februari
Kutoka Wikipedia
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1878 - Uchaguzi wa Papa Leo XIII
- 1962 - John Glenn anazunguka dunia katika chombo cha angani akiwa Mmarekani wa kwanza kufanya hivyo.
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 1431 - Papa Martin V
- 1790 - Kaisari Joseph II wa Ujerumani
- 1907 - Henri Moissan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1906)
- 1916 - Klas Pontus Arnoldson (mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 1972 - Maria Goeppert-Mayer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)