1878
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1875 1876 1877 - 1878 - 1879 1880 1881 |
[hariri] Matukio
- 20 Februari - Uchaguzi wa Papa Leo XIII
[hariri] Waliozaliwa
- 6 Januari – Carl Sandburg (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940)
- 10 Mei - Gustav Stresemann (mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926)
- 28 Agosti - George Whipple (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
- 1 Novemba - Carlos Saavedra Lamas (mwanasiasa wa Argentina na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1936)
- 18 Desemba - Josef Stalin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti 1924-53