1934
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1931 1932 1933 - 1934 - 1935 1936 1937 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 9 Machi - Yuri Gagarin (rubani Mrusi na mtu wa kwanza aliyefika katika anga la nje)
- 31 Machi - Carlo Rubbia (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1984)
- 13 Julai - Wole Soyinka (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1986)
- 16 Julai - George Hilton, mwigizaji filamu Mwingereza kutoka Uruguay
- 3 Agosti - Jonas Savimbi
- 10 Desemba - Howard Temin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
[hariri] Waliofariki
- 29 Januari - Fritz Haber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918)
- 17 Oktoba - Santiago Ramón y Cajal (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1906)