16 Julai
Kutoka Wikipedia
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 622: mwanzo wa Hijra - Muhammad na wafuasi wake wanaondoka Makka kuhamia Madina. Mwaka huu utakuwa mwaka wa kwanza wa Kalenda ya Kiislamu.
- 1945 - Mlipuko wa kinyuklia wa kwanza karibu na Los Alamos (Marekani): Bomu la jaribio liitwalo „Trinity“ (Utatu) lenye nguvu ya kilotani 20 za TNT.
[hariri] Waliozaliwa
- 1888 - Frits Zernike (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1953)
- 1934 - George Hilton, mwigizaji filamu Mwingereza kutoka Uruguay
[hariri] Waliofariki
- 1916 - Ilya Mechnikov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1908)
- 1985 - Heinrich Boll (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1972)
- 1994 - Julian Schwinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)