24 Julai
Kutoka Wikipedia
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1783 - Simon Bolivar, mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania, katika mji wa Caracas (Venezuela)
- 1803 - Adolphe Adam (mtungaji wa muziki Mfaransa)
- 1857 - Henrik Pontoppidan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917)
[hariri] Waliofariki
- 1862 - Martin Van Buren, Rais wa Marekani (1837-1841)
- 1986 - Fritz Lipmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953)
- 1991 - Isaac Bashevis Singer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1978)