1917
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1914 1915 1916 - 1917 - 1918 1919 1920 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 25 Januari - Ilya Prigogine, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1977
- 24 Machi - John Kendrew (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962)
- 10 Aprili - Robert Woodward (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1965)
- 25 Aprili - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike Mmarekani wa Jazz
- 29 Mei - John F. Kennedy (Rais wa Marekani)
- 7 Juni – Gwendolyn Brooks (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1949)
- 7 Septemba - John Cornforth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
- 2 Oktoba - Christian de Duve (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1974)
- 8 Oktoba - Rodney Porter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 27 Oktoba - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 22 Novemba - Andrew Huxley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 9 Desemba - James Rainwater (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)
- 21 Desemba - Heinrich Boll (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1972)
[hariri] Waliofariki
- 16 Februari - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa
- 31 Machi - Emil von Behring (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1901)
- 27 Julai - Emil Theodor Kocher (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1909)
- 13 Agosti - Eduard Buchner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907)
- 20 Agosti - Adolf von Baeyer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1905)
- 22 Desemba - Frances Cabrini