10 Aprili
Kutoka Wikipedia
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 401 - Theodosius II, Kaizari wa Dola la Roma Mashariki (408-450)
- 1847 - Joseph Pulitzer (mhariri wa magazeti Mmarekani, na mwanzishaji wa Tuzo ya Pulitzer)
- 1887 - Bernardo Houssay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1947)
- 1917 - Robert Woodward (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1965)
- 1927 - Marshall Nirenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
[hariri] Waliofariki
- 1585 - Papa Gregori XIII aliyekuwa papa kati ya 1572 na 1585 (* 1502) aliyeanzisha Kalenda ya Gregori
- 1992 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978