13 Aprili
Kutoka Wikipedia
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1055 - Uchaguzi wa Papa Viktor II
- 1598 - Mfalme Henri IV wa Ufaransa atoa tamko la Nantes linalowapa Waprotestanti haki sawa na Wakatoliki nchini Ufaransa na kumaliza vita ya kidhehebu.
[hariri] Waliozaliwa
- 1906 - Samuel Beckett (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1969)
- 1922 - Julius Nyerere (Rais wa kwanza, "Mwalimu" na "Baba wa Taifa" wa Tanzania)
- 1939 - Seamus Heaney (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1995)
- 1944 - Euphrase Kezilahabi, mwandishi Mtanzania
- 1955 - Ronald Muwenda Mutebi II, mfalme wa Buganda
[hariri] Waliofariki
- 1868 - Tewodros II, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi