30 Aprili
Kutoka Wikipedia
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 711 - Jeshi la Waarabu Waislamu likiongozwa na jemadari Tariq ibn Ziyad linavuka mlango wa bahari wa Gibraltar na kuanza uvamizi wa Hispania.
[hariri] Waliozaliwa
- 1946 - Carl XVI Gustaf, mfalme wa Uswidi
[hariri] Waliofariki
- 1945 - Adolf Hitler (kiongozi wa Ujerumani) anajiua mjini Berlin pamoja na mke wake Eva.