711
Kutoka Wikipedia
[hariri] Matukio
- Jeshi la Waarabu Waislamu likiongozwa na jemadari Muhammad bin Qasim linavamia Uhindi na kuunda usultani wa Sind katika bonde la mto Indus.
- 30 Aprili - Jeshi la Waarabu Waislamu likiongozwa na jemadari Tariq ibn Ziyad linavuka mlango wa bahari wa Gibraltar na kuanza uvamizi wa Hispania.
- 19 Julai - Waarabu wanashinda jeshi la Wagoti wa Magharibi na kuangusha dola la Wagoti.