8 Aprili
Kutoka Wikipedia
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1378 - Uchaguzi wa Papa Urban VI
- 1455 - Uchaguzi wa Papa Callixtus III
[hariri] Waliozaliwa
- 1336 - Timur aliyeunda milki kubwa katika Asia ya Kati
- 1911 - Melvin Calvin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961)
- 1938 - Kofi Annan (Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa)
[hariri] Waliofariki
- 217 - Caracalla, Kaisari wa Dola la Roma
- 622: kifo cha Shotoku Kaishi, mwana wa nasaba ya kifalme wa Japani aliyekuwa kati ya wafuasi wa kwanza wa Ubuddha nchini Japani
- 1931 - Erik Axel Karlfeldt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1931)
- 1936 - Robert Barany (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1914)
- 1984 - Pyotr Kapitsa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
- 1992 - Daniel Bovet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1957)