1957
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1954 1955 1956 - 1957 - 1958 1959 1960 |
[hariri] Matukio
- 6 Machi - Nchi ya Ghana inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 31 Agosti - Nchi ya Malaysia inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 10 Januari - Gabriela Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1945)
- 22 Januari – Ralph Barton Perry (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1936)
- 8 Februari - Walther Bothe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 18 Februari - Dedan Kimathi (kiongozi Mkenya wa Mau Mau; alinyongwa)
- 28 Machi - Jack Butler Yeats (mchoraji kutoka Ireland)
- 21 Juni - Johannes Stark (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919)
- 5 Agosti - Heinrich Otto Wieland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1927)
- 18 Agosti - Irving Langmuir (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932)