1958
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1955 1956 1957 - 1958 - 1959 1960 1961 |
[hariri] Matukio
- Maonyesho ya Dunia mjini Brussels (Ubelgiji)
- 2 Oktoba - Nchi ya Guinea inapata uhuru kutoka Ufaransa.
[hariri] Waliozaliwa
- 16 Agosti - Angela Bassett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 29 Agosti - Michael Jackson (mwanamuziki)
[hariri] Waliofariki
- 1 Februari - Clinton Davisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 29 Mei - Juan Ramon Jimenez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1956)
- 20 Juni - Kurt Alder (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950)
- 22 Agosti - Roger Martin du Gard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1937)
- 27 Agosti - Ernest Orlando Lawrence (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939)
- 9 Oktoba - Papa Pius XII
- 15 Desemba - Wolfgang Pauli (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945)