1956
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1953 1954 1955 - 1956 - 1957 1958 1959 |
[hariri] Matukio
- 1 Januari - Nchi ya Sudani inapata uhuru kutoka Misri na Uingereza.
- 20 Machi - Nchi ya Tunisia inapata uhuru kutoka Ufaransa.
[hariri] Waliozaliwa
- 3 Januari - Mel Gibson, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
- 31 Januari - John Lydon, mwanamuziki kutoka Uingereza
- 5 Mei - Jay Rosen, mwandishi Mmarekani
- 19 Desemba - Jens Fink-Jensen (mwandishi Mdenmark)
[hariri] Waliofariki
- 22 Septemba - Frederick Soddy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1921)