1959
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1956 1957 1958 - 1959 - 1960 1961 1962 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 16 Januari - Sade, mwanamuziki Mwingereza aliyezaliwa Nigeria
- 17 Aprili - Sean Bean, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 29 Agosti - Gideon Byamugisha, kasisi kutoka Uganda
- 26 Oktoba - Evo Morales (rais wa Bolivia)
[hariri] Waliofariki
- 15 Februari - Owen Richardson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1928)
- 9 Aprili - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 5 Mei - Carlos Saavedra Lamas (mwanasiasa wa Argentina na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1936)
- 9 Juni - Adolf Windaus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1928)
- 17 Julai - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 15 Novemba - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927