1936
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1933 1934 1935 - 1936 - 1937 1938 1939 |
[hariri] Matukio
- 17 Julai - Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Hispania inaanza mjini Melilla (Afrika ya Kaskazini) kwa uasi wa jeshi
[hariri] Waliozaliwa
- 10 Januari - Robert Wilson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
- 27 Januari - Samuel Ting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976)
- 9 Mei - Ernest Shonekan, Rais wa Nigeria (1993)
- 8 Juni - Kenneth Wilson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982)
- 5 Agosti - John Saxon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 18 Januari - Rudyard Kipling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1907)
- 27 Februari - Ivan Pavlov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1904)
- 28 Februari - Charles Nicolle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928)
- 8 Aprili - Robert Barany (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1914)
- 15 Agosti - Grazia Deledda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1926)
- 10 Desemba - Luigi Pirandello (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1934)