10 Januari
Kutoka Wikipedia
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1920 - Shirikisho la Mataifa linaanza kazi yake.
[hariri] Waliozaliwa
- 1936 - Robert Wilson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
[hariri] Waliofariki
- 681 - Papa Agatho
- 1276 - Papa Gregori X
- 1951 - Sinclair Lewis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930)
- 1957 - Gabriela Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1945)
- 1986 - Jaroslav Seifert (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1984)
- 1997 - Alexander Todd (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1957)