>


Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Shirikisho la Mataifa - Wikipedia

Shirikisho la Mataifa

Kutoka Wikipedia

Nyumba ya Matifa huko Geneva, Uswisi ilijengwa 1929 - 1938 kama makao makuu ya Shirikisho la Mataifa. Leo ni makao makuu ya UM katika Ulaya.
Nyumba ya Matifa huko Geneva, Uswisi ilijengwa 1929 - 1938 kama makao makuu ya Shirikisho la Mataifa. Leo ni makao makuu ya UM katika Ulaya.

Shirikisho la Mataifa lilikuwa umoja wa madola ya dunia 63 kati ya 1920 na 1946 BK. Umoja huu ulianzishwa na mataifa washindi wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Katika miaka 1920-1930 mataifa mengine yalijiunga nao. Shirikisho la Mataifa lilikwisha 1946 baada ya kuundwa kwa Umoja wa Mataifa iliochukua nafasi yake.

Yaliyomo

[hariri] Mwanzo wake

Wazo la kuwa na shirikisho la mataifa lilitolewa mara ya kwanza na mwanafalsafa Mjerumani Immanuel Kant mnamo mwaka 1795. Wazo la Kant lilirudiwa na wanafalsafa mbalimbali. Wakati wa vita kuu ya kwanza rais wa Marekani Woodrow Wilson alipendekeza hatua za kuanzisha shirikisho hili kwa kusudi la kuzuia vita za wakati ujao baada ya mwisho wa vita ile.

Katiba ya shirikisho la mataifa ilikuwa sehemu ya mkataba wa Versailles mwaka 1919. Nchi washindi au mataifa ya ushirikiano zilijiunga na umoja huo mpya. Baada ya kukubaliwa na nchi za kutosha shirikisho lilianza rasmi tarehe 10 Januari, 1920.

Katiba ilikuwa na madhumuni kama yafuatavo:

  • fitina zote kati ya nchi zitasuluhishwa kwa njia ya amani kwa azimio ya kamati au mahakama ya kimataifa
  • nchi wanachama zote zitaungana dhidi ya nchi yoyote itakayoanzisha vita mpya au kukataa azimio la mahakama ya kimataifa
  • nchi zinapatana kupunguza jeshi zao na idadi ya silaha zilizopo
  • mkutano mkuu wa wawakalishi wa nchi zote wanachama itakuwa bunge la shirikisho
  • kamati kuu au halmashauri ya nchi wanachama nne (baadaye sita)na nafasi nne (baadaye 9) za nchi zinazobadilishana kwa zamu
  • ofisi kuu inayoongozwa na Katibu Mkuu
  • mahakama ya kimataifa inaundwa ya kutoa azimio katika matatizo kati ya madola

[hariri] Mafanikio

Shirikisho lilikuwa awali umoja wa mataifa washindi wa vita. Baadaye hata nchi zisizishiriki katika vita na nchi zilizoshindwa kama Ujerumani zilikubaliwa. Idadi ya wanachama ilipanda hadi kufikia 63.

Nembo la Shirikisho la Mataifa 1939 - 1941
Nembo la Shirikisho la Mataifa 1939 - 1941

Kati ya mafanikio ni haya:

  • Fitina ya Aland kati ya Sweden na Finland
  • Fitina kati ya Albania na Yugoslavia kuhusu mipaka ya Albania
  • Fitina mbalimbali kuhusu mipaka ya Ujerumani na Poland, Lithuania na Ufaransa
  • Fitina kuhusu mashambulio ya Ugiriki dhidi ya Bulgaria 1925
  • Fitina kati ya Uturuki, Irak na Uingereza 1926 juu ya Mosul
  • Malalamiko kuhusu utumwa katika nchi ya Liberia 1930
  • Mapatano ya kimataifa kuhusu wanawake kufanyiwa biashara ya umalaya, biashara ya madawa ya kulevya na kitambulisho cha wakimbizi

Shirikisho la mataifa liliunda pia utaratibu wa utawala wa maeneo yaliyokuwa chini ya Uturuki na Ujerumani hadi 1919.

[hariri] Kazi ya Shirikisho la Mataifa katika Afrika

Liberia na Afrika Kusini zilikuwa wanachama tangu mwanzo, Ethiopia ilipokelewa mwaka 1923.

Katika Afrika shirikisho liliunda utaratibu mpya kwa ajili ya koloni za Ujerumani yaani Tanganyika, Rwanda, Burundi, Togo, Kamerun na Namibia.

Ujerumani haukubaliwa kuwa nazo tena kwa sababu ya kuwatendea wenyeji Waafrika vibaya. Hata kama sababu hiyo ilikuwa tamko la washindi wa vita waliotaka kujigawia wenyewe koloni hizi ilhali wenyewe waliwahi kuwatendea watu vibaya katika koloni zao msingi muhimu uliwekwa uliozaa matunda baadaye: yaani hata serikali ya kikoloni inatakiwa kuheshimu haki za binadamu.

Halafu koloni za Ujerumani hazikukabidhiwa tu kwa Uingereza (Tanganyika, sehemu za Kamerun na Togo), Ufaransa (sehemu kubwa za Kamerun na Togo), Ubelgiji (Rwanda, Burundi) na Afrika Kusini (Namibia) hivi lakini kama maeneo ya kukabidhiwa chini ya uangalizi wa Shirikisho la Mataifa. Utaratibu huu ulikuwa muhimu baadaye wakati wa uhuru. Namibia ilikuwa sehemu ya Afrika Kusini chini ya sheria za nchi ile lakini jumuiya ya kimataifa haikukubali kwa sababu Namibia ilikuwa kati ya maeneo ya kukabidhiwa - mwishoni Afrika Kusini iliiacha Namibia iwe huru mwaka 1990 miaka 44 baada ya mwisho wa shirikisho lenyewe.


Mfalme Haile Selassie wa Ethiopia akishtaki Italia kwa sababu ya uvamizi wa nchi yake 1935 mbele ya Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mataifa
Mfalme Haile Selassie wa Ethiopia akishtaki Italia kwa sababu ya uvamizi wa nchi yake 1935 mbele ya Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mataifa

[hariri] Matatizo

Tatizo kubwa tangu mwanzo ilikuwa ya kwamba Marekani haukuthebitisha unachama wake. Rais Wilson aliyeandaa kuundwa kwa shirikisho alikuwa amekasirisha wabunge wake nyumbani hivyo Senati ya Marekani iliendelea kukataa uanachama ya Marekani.

Matatizo mengine yaliyosababisha kushindwa kwa shirikisho la mataifa yalitokana hasa na udhaifu mkubwa wa kukosa jeshi lake. Tangu mwanzo shirikisho lilitegemea nguvu ya nchi wanachama kama nchi ilivunja mapatano na kukataa kuitikia maazimio ya shirikisho.

Kuanzia mnamo mwaka 1930 mataifa wanachama makubwa yalianza kuvunja vibaya sheria za shirikisho lakini hatua kali hazikuchukuliwa dhidi yao. Shirikisho lilishindwa kuzuia vita na mashambulio dhidi ya nchi wanachama wake. Kati ya matukio muhimu yaliyoharibu sifa za shirikisho ni:

  • Mapigano ya Mukden 1931 (Japan kushambulia Uchina, kuvamia Manchuria)
  • Vita ya Chaco kati ya Bolivia and Paraguay 1932 - 1935
  • Vita ya wenyewe kwa wenyewe Hispania iliyoingiliwa kati na Italia, Ujerumani na Urusi
  • Italia kuvamia Ethiopia 1935 , ikitumia silaha marufuku kama gesi
  • Kuongezeka kwa jeshi la Ujerumani kupitia kiwango kilichokubaliwa 1919

Nchi mbalimbali zilitoka katika Shirikisho la Mataifa baada ya kupingwa mkutanoni kama vile Italia, Japan na Ujerumani.

Azimio la mwisho lenye maana kidogo yalikuwa kufukuza Urusi katika shirikisha baada ya uvamizi wake katika Finland mwaka 1939.


[hariri] Mwisho

Septemba 1939 Ujerumani ilivamia Poland. Baada ya siku chache ilionekana ya kwamba vita kuu ya pili imeanza - Shirikisho la Mataifa lilishindwa katika dhumuni lake la kuzuia marudio ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

Washindi wa vita kuu ya pili waliamua kuanzisha chombo kipya. Umoja wa Mataifa uliundwa 1945 ukachukua nafasi yake. Vitengo kadhaa za shirikisho viliendela vikihamia kwa UM kwa mfano Shirika ya Kazi ya Kimataifa (ILO).

Mwaka 1946 mkutano mkuu uliamua mumaliza shirikisho. Mali yale ilikabidhiwa kwa UM.


< Static Wikipedia 2008 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2007 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2006 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu

span style="font-weight: bold;">Our
"Network":



Project Gutenberg

href="https://gutenberg.classicistranieri.com">https://gutenberg.classicistranieri.com



Encyclopaedia Britannica 1911

href="https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com">https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com



Librivox Audiobooks

href="https://librivox.classicistranieri.com">https://librivox.classicistranieri.com



Linux Distributions

https://old.classicistranieri.com



Magnatune (MP3 Music)

href="https://magnatune.classicistranieri.com">https://magnatune.classicistranieri.com



Static Wikipedia (June 2008)

href="https://wikipedia.classicistranieri.com">https://wikipedia.classicistranieri.com



Static Wikipedia (March 2008)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/">https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/



Static Wikipedia (2007)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com">https://wikipedia2007.classicistranieri.com



Static Wikipedia (2006)

href="https://wikipedia2006.classicistranieri.com">https://wikipedia2006.classicistranieri.com



Liber Liber

href="https://liberliber.classicistranieri.com">https://liberliber.classicistranieri.com



ZIM Files for Kiwix

https://zim.classicistranieri.com





Other Websites:



Bach - Goldberg Variations

https://www.goldbergvariations.org



Lazarillo de Tormes

https://www.lazarillodetormes.org



Madame Bovary

https://www.madamebovary.org



Il Fu Mattia Pascal

https://www.mattiapascal.it



The Voice in the Desert

https://www.thevoiceinthedesert.org



Confessione d'un amore fascista

https://www.amorefascista.it



Malinverno

https://www.malinverno.org



Debito formativo

https://www.debitoformativo.it



Adina Spire

https://www.adinaspire.com




atOptions = { 'key' : 'e601ada261982ce717a58b61cd5b0eaa', 'format' : 'iframe', 'height' : 60, 'width' : 468, 'params' : {} };

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com