1978
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1975 1976 1977 - 1978 - 1979 1980 1981 |
[hariri] Matukio
- 26 Agosti - Uchaguzi wa Papa Yohane Paulo I
- 16 Oktoba - Uchaguzi wa Papa Yohane Paulo II
[hariri] Waliozaliwa
- 4 Februari - Danna Garcia, mwigizaji filamu kutoka Kolombia
- 18 Machi - Halima James Mdee, mbunge Mtanzania
[hariri] Waliofariki
- 11 Februari - Harry Martinson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1974)
- 6 Agosti - Papa Paulo VI
- 9 Agosti – James Gould Cozzens, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1949
- 18 Agosti - Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya
- 26 Septemba - Karl Manne Siegbahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1924)
- 28 Septemba - Papa Yohane Paulo I
- 11 Desemba - Vincent du Vigneaud (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1955)