1981
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1978 1979 1980 - 1981 - 1982 1983 1984 |
[hariri] Matukio
- 21 Septemba - Nchi ya Belize inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 20 Mei - Amina Chifupa, mwanasiasa wa Tanzania
- 5 Julai - Ambwene Yessayah, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 4 Septemba - Beyoncé, mwimbaji kutoka Marekani
- 1 Desemba - Khamis Mussa, mwigizaji na mwanamuziki kutoka Tanzania
- 2 Desemba - Britney Spears, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
bila tarehe
- Nonini (au Hubert Nakitare), mwanamuziki kutoka Kenya
- Khalid Mohamed, mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 5 Januari - Harold Urey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1934)
- 9 Machi - Max Delbruck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 11 Mei - Odd Hassel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 11 Mei - Bob Marley, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 18 Mei - William Saroyan (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa)
- 8 Septemba - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1949
- 12 Septemba - Eugenio Montale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1975)
- 22 Novemba - Hans Krebs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953)