1979
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1976 1977 1978 - 1979 - 1980 1981 1982 |
[hariri] Matukio
- 11 Februari - Mapinduzi ya Uajemi
- 1 Aprili - Nchi ya Iran inatangazwa kuwa Jamhuri ya Kiislamu.
- 21 Septemba - Serikali ya Jean Bedel Bokassa, Kaisari ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, imepinduliwa
[hariri] Waliozaliwa
- 24 Januari - Tatyana Ali, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Februari - Mariana Ochoa, mwanamuziki na mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 8 Oktoba - Kristanna Loken, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 5 Januari - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 8 Februari - Dennis Gabor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971)
- 2 Mei - Giulio Natta (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963)
- 1 Juni - Werner Forssmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 8 Julai - Shinichiro Tomonaga (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 8 Julai - Robert Woodward (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1965)
- 8 Agosti - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 12 Agosti - Ernst Boris Chain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 1 Novemba - Mamie Eisenhower, mke wa Rais Dwight D. Eisenhower, na Mwanamke wa Kwanza wa Marekani (1953-61)