1965
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1962 1963 1964 - 1965 - 1966 1967 1968 |
[hariri] Matukio
- Aprili - 23 Septemba vita ya pili ya Kashmir kati ya Uhindi na Pakistan iliyoanza na mashambulio ya wanamgambo kutoka Pakistan na kufikia vita ya jeshi za nchi zote mbili kabla ya kuishia bila mabadiliko makbuwa ya mpaka.
- 18 Februari - Nchi ya Gambia inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 11 Novemba - Nchi ya Rhodesia inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 18 Februari - Andre Romell Young, mwanamuziki kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 4 Januari - T. S. Eliot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948)
- 24 Januari - Winston Churchill (Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953)
- 30 Machi - Philip Hench (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 21 Aprili - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947
- 27 Agosti - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 4 Septemba - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952
- 8 Septemba - Hermann Staudinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953)
- 12 Oktoba - Paul Hermann Müller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1948)
- 5 Desemba - Joseph Erlanger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)