Gabon
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Union, Travail, Justice (Kifaransa: Umoja, Kazi, Haki) |
|||||
Wimbo wa taifa: La Concorde (Kifaransa: |
|||||
Mji mkuu | Libreville |
||||
Mji mkubwa nchini | Libreville | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
Serikali
Raise
Waziri Mkuu |
Jamhuri Omar Bongo Jean Eyeghe Ndong |
||||
Uhuru Kutoka Ufaransa |
Agosti 17, 1960 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
267,667 km² (74) - |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - ? sensa - Msongamano wa watu |
1,389,201 (152) haiko 5.2/km² (183) |
||||
Fedha | CFA franc (XAF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .ga | ||||
Kodi ya simu | +241 Río Muni |
Jamhuri ya Gabon, au Gabon, ni nchi Afrika magharibi ya kati. Ime pakana na Guinea ya Ikweta, Kamerun, Jamhuri ya Kongo na Guba ya Guinea. Gabon kutoka kushinda uhuru kutoka Ufaransa mnamo Agosti 17, 1960, Jamhuri hii imeongozwa na Rais wa wili, Autokrat; Aliyeshikilia El Hadj Omar Bongo amekua kwa uongozi kutoka mwaka wa 1967 na hivi leo (2006) yeye ndiye kiongozi Afrika aliyeshikilia uongozi kwa mda mrefu. Gabon ilianza demokrasia ya vyama vingi na katiba ya kidemokrasia mwaka wa 1990- ambayo inaruhusu ukweli wa uchaguzi na utekelezaji wa idara za serikali. Nchi hii ina, umma mdogo, madini na mali kwa wingi, na wahifadhi biashara kutoka nchi za kigeni wameweza kufanya Gabon iwe nchi moja eneo hii ya Afrika yenye maedeleo na neema.
Yaliyomo |
[hariri] Historia
[hariri] Siasa
[hariri] Eneo la Gabon
Gabon imegawiwa kwa Mikoa 9 na wilaya 37 (départements). Mikoa ni: Estuaire, Haut-Ogooué, Moyen-Ogooué, Ngounié, Nyanga, Ogooué-Ivindo, Ogooué-Lolo, Ogooué-Maritime, na Woleu-Ntem.
[hariri] Jiografia
[hariri] Uchumi
Gabon ni nchi yenye neema sana kuliko nchi jirani, Uchumi wake hasa chummo cha uchumi kwa umma ni mara nne ya nchi za Afrika kusini mwa sahara. Hii hasa ni kwa sababu ya utolezi wa Mafuta ambayo imeleta utajiri na mali, lakini usabazi wa mali hii ya mafuta bado umedhoofika. Gabon ilikua moja kwa Muungano wa Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) kutoka mwaka wa 1975 mbaka 1995.
Karne ya 1990, Udhoofu wa Pesa CFA frank iliwacha Gabon kwa shida ya kulipa deni za kimataifa; Ufaransa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) wamewapa Gabon mkopo na usaidizi kwa uelewano kwamba Gabon itageuza Uchumi wake barabara.
[hariri] Watu na Ukoo
Karibu waGabono wote ni wa Ukoo wa Bantu. Gabon hasaa ina kabila 40 ambazo zina utamaduni na lugha tafauti. Wafang wakiwa ndio kabila kubwa zaidi nchini Gabo, wengine ni Wamyene, Wabandjabi, Waeshira, Wabapounou, na Waokande. Lugha ya Kifaransa, ndiye Lugha rasmi ya Taifa ambayo hutumika kwa mawasiliano. Wafaransa 10,000 waishi Gabon, na Ufaransa ya athari mabo ya kigeni utamaduni na biashara nchini Gabon. Yasemekana mambo ya mazingira kafanya umma wa Gabon kuto panda kwa sensa kati ya karne 1900 na 1940. Ni nchi ambayo ina Umma mdogo zaidi Afrika, na upungufu wa wafanya kazi ni moja wapo ya mambo inayofanya hasa uchumi kuto vuma zaidi. Umma hasa kwa ujumla yasemekana ni kama watu milioni moja (1) lakini mambo haya yamebaki bila kuwazuliwa.
[hariri] Utamaduni
- Bwiti
- Makabila ya Gabon
- Muziki wa Gabon
[hariri] Shauri kiwazowazo
- Mawasiliano Gabon
- Mambo ya Kigeni ya Gabon
- Orotha ya Ushauri wa Gabon
- Orotha ya kampuni za Gabon
- Jeshi ya Gabon
- Stampu za barua na historia ya Gabon
- Usafirisaji Gabon
- Fédération Gabonaise du Scoutisme
[hariri] wangaalizi
- David E. Gardinier and Douglas A. Yates, Historia elekezo ya Gabon, tolezi ya 3. (The Scarecrow Press, Inc., 2006)
- David E. Gardinier, Kamusi ya Historia ya Gabon, tolezi ya 2. (The Scarecrow Press, Inc., 1994) – kazi inayohusu maelezo biografia ya vifaa 1,453
- James F. Barnes, Gabon: Beyond the Colonial Legacy (Boulder: Westview, 1992)
[hariri] viungo via nnje
[hariri] serikali
- Le Gabon : makala rasmi ya Jamhuri ya Gabon
- Assemblée nationale du Gabon makala rasmi.
- Gabonese Embassy in London arithio za serikali
- Le Sénat de la République Gabonaise makala rasmi (kwa kifaransa)
[hariri] Habari
- AllAfrica.com - Gabon viungo via taarifa ya habari
[hariri] Uchambuzi
[hariri] Ukoo na kabila
- Baka watu wafupi wa Kamerun na Gabon Utamaduni na wakazi wa kwanza Gabon
[hariri] Maelekezo
- Open Directory Project - Gabon maelekezo
- Chuo kikuu cha Stanford – Afrika kusini mwa sahara: Gabon maelekezo
- Chuo kikuu cha Pennsylvania – Ustadi wa-Afrika: Gabon maelekezo
- Yahoo! - Gabon directory category
[hariri] Utalii
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |