1940
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1937 1938 1939 - 1940 - 1941 1942 1943 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 4 Januari - Gao Xingjian (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2000)
- 4 Januari - Brian Josephson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973)
- 9 Februari - John Maxwell Coetzee (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2003)
- 1 Aprili - Wangari Maathai, mwanasiasa kutoka Kenya na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004
- 24 Mei - Joseph Brodsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1987)
- 3 Septemba - Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu wa Tanzania
- 7 Septemba - Dario Argento, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 9 Oktoba - John Lennon (mwanamuziki Mwingereza)
- 13 Oktoba - Pharaoh Sanders, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 27 Novemba - Bruce Lee
[hariri] Waliofariki
- 16 Machi - Selma Lagerlof (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1909)
- 26 Aprili - Carl Bosch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 14 Mei - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 20 Mei - Verner von Heidenstam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1916)
- 17 Juni - Arthur Harden (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 30 Agosti - Joseph John Thomson, mwanafizikia kutoka Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1906
- 27 Septemba - Julius Wagner-Jauregg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1927)