1909
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1906 1907 1908 - 1909 - 1910 1911 1912 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1 Januari - Shaaban Robert (mshairi maarufu wa Tanzania)
- 18 Februari – Wallace Stegner (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1972)
- 21 Septemba - Kwame Nkrumah (Rais wa kwanza wa Ghana)
- 3 Novemba – James Reston (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1945)
- 14 Desemba - Edward Tatum (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
[hariri] Waliofariki
- 15 Januari - Mtakatifu Arnold Janssen (padre Mkatoliki kutoka Ujerumani)