1910
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1907 1908 1909 - 1910 - 1911 1912 1913 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 9 Februari - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 13 Februari - William Shockley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956)
- 1 Machi - A.J.P. Martin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952)
- 12 Mei - Dorothy Hodgkin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1964)
- 19 Juni - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
- 27 Agosti - Mama Teresa (Agnes Bojaxhiu)
- 19 Oktoba - Subrahmanyan Chandrasekhar (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)
[hariri] Waliofariki
- 26 Aprili - Bjørnstjerne Bjørnson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1903)
- 27 Mei - Robert Koch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1905)
- 29 Mei - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 30 Oktoba - Henri Dunant (mwanzishi Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901)