1912
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1909 1910 1911 - 1912 - 1913 1914 1915 |
[hariri] Matukio
- 8 Januari - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC.
[hariri] Waliozaliwa
- 21 Januari - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 19 Aprili - Glenn Seaborg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951)
- 22 Mei - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 27 Mei – John Cheever (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979)
- 28 Mei - Patrick White (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1973)
- 30 Mei - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 13 Agosti - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 30 Agosti - Edward Purcell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
- 17 Oktoba - Papa Yohane Paulo I (kwa jina la Albino Luciani)
- 19 Novemba - George Palade, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
[hariri] Waliofariki
- 12 Juni - Frederic Passy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901)
- 30 Juni - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 6 Oktoba - Auguste Beernaert (mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1909)