1973
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1970 1971 1972 - 1973 - 1974 1975 1976 |
[hariri] Matukio
- 24 Septemba - Nchi ya Guinea Bisau inatangaza kuwa huru kutoka Ureno.
[hariri] Waliozaliwa
- 23 Aprili - Marcela Pezet, mwigizaji filamu na tamthilia kutoka Mexiko
- 21 Juni - Juliette Lewis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 11 Februari - Johannes Hans Daniel Jensen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 23 Februari - Dickinson Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 6 Machi - Pearl S. Buck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938)
- 10 Juni - William Inge (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954)
- 20 Julai - Bruce Lee
- 12 Agosti - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 12 Agosti - Karl Ziegler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963)
- 16 Agosti - Selman Waksman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952)
- 17 Agosti - Conrad Aiken, mwandishi kutoka Marekani
- 2 Septemba - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete
- 23 Septemba - Pablo Neruda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1971)
- 25 Oktoba - Abebe Bikila (mwanariadha Mhabeshi)
- 11 Novemba - Artturi Ilmari Virtanen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945)