6 Machi
Kutoka Wikipedia
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1447 - Uchaguzi wa Papa Nikolasi V
1957 - Nchi ya Ghana inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 1928 - Gabriel Garcia Marquez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1982)
[hariri] Waliofariki
- 1973 - Pearl S. Buck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938)
- 2005 - Hans Bethe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)