27 Machi
Kutoka Wikipedia
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1650 - Charlotte Amalie, malkia wa Denmark
- 1845 - Wilhelm Conrad Röntgen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1901)
- 1847 - Otto Wallach (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1910)
[hariri] Waliofariki
- 1191 - Papa Klementi III
- 1378 - Papa Gregori XI
- 1714 - Charlotte Amalie, malkia wa Denmark
- 1967 - Jaroslav Heyrovsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959)
- 1968 - Yuri Gagarin (rubani Mrusi na mtu wa kwanza aliyefika katika anga la nje)