1982
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1979 1980 1981 - 1982 - 1983 1984 1985 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 14 Februari - Antonio Casas, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 19 Machi - Louis-Victor Broglie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1929
- 28 Machi - William Giauque (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1949)
- 12 Juni - Karl von Frisch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973)
- 18 Juni – John Cheever (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979)
- 12 Agosti - Henry Fonda, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 15 Agosti - Hugo Theorell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1955)
- 23 Agosti - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972