Stanford Moore
Kutoka Wikipedia
Stanford Moore (4 Septemba, 1913 – 23 Agosti, 1982) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli za protini. Mwaka wa 1972, pamoja na Christian Anfinsen na William Stein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.