15 Agosti
Kutoka Wikipedia
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- katika mapokeo ya kikatoliki ni sikukuu ya kupaa mbinguni wa Mtakatifu Mariamu
- 1537 - Mji wa "Nuestra Señora Santa María de la Asunción" waundwa kando la mto Paraguay utakaokuwa mji mkuu wa nchi ya Paraguay.
- 1888 - Shirika la Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki inaanza kutawala pwani la Tanganyika lililokodiwa na Zanzibar - chanzo cha vita ya Abushiri
- 1945 - Japani inajisalimisha; mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia katika Asia.
- 1960 - Jamhuri ya Kongo inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 1971 - Nchi ya Bahrain inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 1769 - Napoleon Bonaparte, Mfalme wa Ufaransa
- 1897 - Louis-Victor Broglie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1929
- 1925 - Oscar Peterson, mwanamuziki wa Kanada
- 1943 - Barbara Bouchet, mwigizaji filamu wa Italia
[hariri] Waliofariki
- 423 - Honorius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (tangu 395)
- 465 - Libius Severus, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1936 - Grazia Deledda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1926)
- 1982 - Hugo Theorell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1955)