1943
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1940 1941 1942 - 1943 - 1944 1945 1946 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 28 Juni - Klaus von Klitzing (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1985)
- 15 Agosti - Barbara Bouchet, mwigizaji filamu wa Italia
- 5 Novemba - Sam Shepard (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979)
[hariri] Waliofariki
- 26 Juni - Karl Landsteiner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930)
- 21 Agosti - Henrik Pontoppidan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917)
- 9 Oktoba - Pieter Zeeman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902