1930
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1927 1928 1929 - 1930 - 1931 1932 1933 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 23 Januari - Derek Walcott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1992)
- 28 Februari - Aage Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)
- 28 Februari - Leon Cooper (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1972)
- 24 Machi - David Dacko, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 24 Machi - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 31 Mei - Clint Eastwood, mwigizaji, mwongozaji na mwandaaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Agosti - Sean Connery, mwigizaji filamu kutoka Uskoti
- 10 Oktoba - Harold Pinter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2005)
- 14 Oktoba - Mobutu Sese Seko, Rais wa nchi ya Zaire
- 16 Novemba - Chinua Achebe, mwandishi Mnigeria
[hariri] Waliofariki
- 2 Aprili - Zauditu, Malkia mtawala wa Uhabeshi
- 13 Mei - Fridtjof Nansen (mpelelezi na mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1922)
- 28 Julai - Allvar Gullstrand (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911)
- 5 Novemba - Christiaan Eijkman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 13 Desemba - Fritz Pregl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923)