5 Novemba
Kutoka Wikipedia
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1837 - Mtakatifu Arnold Janssen (padre Mkatoliki kutoka Ujerumani)
- 1854 - Paul Sabatier (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912)
- 1943 - Sam Shepard (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979)
[hariri] Waliofariki
- 1930 - Christiaan Eijkman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 1944 - Alexis Carrel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1912)
- 1975 - Edward Tatum (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)