1837
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1834 1835 1836 - 1837 - 1838 1839 1840 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 2 Januari - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 18 Machi - Grover Cleveland, Rais wa Marekani (1885-1889; 1893-1897)
- 21 Aprili - Fredrik Bajer (mwanasiasa Mdenmark, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 5 Novemba - Mtakatifu Arnold Janssen (padre Mkatoliki kutoka Ujerumani)
bila tarehe
- Hamed bin Mohammed el Murjebi, mfanyabiashara wa Tanzania na mwandishi wa tawasifu wa kwanza wa Kiswahili