9 Novemba
Kutoka Wikipedia
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 694 - Mfalme Egica, mfalme wa WaVisigoth wa Hispania, anawashtaki Wayahudi kuwasaidia Waislamu, na anawaadhibu kuwa watumwa.
- 1282 - Papa Martin IV anamtenga Mfalme Peter III wa Aragon na kanisa.
- 1494 - Akina de Medici wanaanza kuwa watawala wa mji wa Florence.
- 1799 - Napoleon Bonaparte anapindua serikali ya Ufaransa.
- 1848 - Robert Blum anauawa katika mji wa Vienna.
- 1872 - Moto unateketeza sehemu kubwa ya mji wa Boston.
- 1918 - Mfalme Mkuu Wilhelm II wa Ujerumani anajiuzulu, na Ujerumani unatangazwa kuwa jamhuri.
- 1938 - Usiku wa Chembechembe (kwa Kijerumani: Reichskristallnacht), ambapo WaNazi wanatumia nguvu na vurugu dhidi ya Wayahudi.
- 1989 - Nchi ya Ujerumani wa Mashariki inafungulia Ukuta wa Berlin na kuwaruhusu wananchi wake kusafiri bila shida kwenda Ujerumani wa Magharibi.
[hariri] Waliozaliwa
- 1897 - Ronald Norrish, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
- 1929 - Imre Kertesz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2002)
[hariri] Waliofariki
- 1952 - Chaim Weizmann