1872
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1869 1870 1871 - 1872 - 1873 1874 1875 |
[hariri] Matukio
- 9 Novemba - Moto unateketeza sehemu kubwa ya mji wa Boston.
[hariri] Waliozaliwa
- 18 Mei - Bertrand Russell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1950)
- 4 Julai - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 13 Agosti - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915