1869
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1866 1867 1868 - 1869 - 1870 1871 1872 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 14 Februari - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 27 Juni - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 27 Juni - Hans Spemann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935)
- 3 Septemba - Fritz Pregl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923)
- 22 Novemba - Andre Gide (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1947)
- 30 Novemba - Nils Dalen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912)
[hariri] Waliofariki
- 8 Oktoba - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)