1926
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1923 1924 1925 - 1926 - 1927 1928 1929 |
[hariri] Matukio
- 6 Agosti - Gertrude Ederle ni mwanamke wa kwanza kuvuka mlangobahari kati ya Uingereza na Ufaransa kwa kuogelea.
- 15 Novemba - Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kibritania katika Azimio la Balfour (kwa Kiingereza Balfour Declaration of 1926), mtangulizi wa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na koloni zake za zamani.
[hariri] Waliozaliwa
- 29 Januari - Abdus Salam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979)
- 24 Machi - Dario Fo (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1997)
- 21 Aprili - Elizabeth II, Malkia wa Uingereza
- 27 Mei - Rashidi Kawawa (mwanasiasa kutoka Tanzania)
- 1 Juni - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Juni - Paul Berg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 9 Julai - Ben Mottelson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)
- 13 Agosti - Fidel Castro, Rais wa Kuba
- 21 Septemba - Donald A. Glaser (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1960)
- 18 Oktoba - Klaus Kinski, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 25 Novemba - Tsung-Dao Lee (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957)
- 30 Novemba - Andrew Schally (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977)
[hariri] Waliofariki
- 21 Januari - Camillo Golgi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906)
- 21 Februari - Heike Kamerlingh Onnes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1913)
- 14 Septemba - Rudolf Christoph Eucken (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1908)
- 25 Desemba - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani