25 Desemba
Kutoka Wikipedia
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Kwa Wakristo walio wengi 25 Desemba ni sikukuu ya Krismasi au kuzaliwa kwake Yesu Kristo.
[hariri] Matukio
- 1046 - Uchaguzi wa Papa Klementi II
- 1066 - William Mshindi wa Normandy anapokea cheo cha mfalme wa Uingereza.
- 1559 - Uchaguzi wa Papa Pius IV
[hariri] Waliozaliwa
- 1876 - Adolf Windaus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1928)
- 1904 - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971
- 1906 - Ernst Ruska (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)
- 1931 - Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki aliyekuwa askofu mkuu wa Nairobi wa kanisa katoliki
[hariri] Waliofariki
- 795 - Papa Adrian I
- 1926 - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1961 - Otto Loewi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1936)