16 Desemba
Kutoka Wikipedia
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1971 - Nchi ya Bangla Desh inashinda vita na kupata uhuru kutoka Pakistan.
[hariri] Waliozaliwa
- 1770 - Ludwig van Beethoven, mtungaji muziki kutoka Ujerumani
- 1850 - Hans Buchner (daktari Mjerumani)
- 1863 - George Santayana, mwanafalsafa kutoka Hispania na Marekani
[hariri] Waliofariki
- 882 - Papa Yohane VIII
- 999 - Adelaide wa Italia
- 1779 - Go-Momozono, Mfalme Mkuu wa 118 wa Japani (tangu 1771)
- 1889 - Abushiri ibn Salim al-Harthi, Mtanzania aliyeongoza upinzani dhidi ya ukoloni wa Ujerumani
- 1989 - Lee van Cleef, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 2007 - Benedict Kiroya Losurutia, mwanasiasa wa Tanzania